
Faida za kitunguu maji (onion)
- kitunguu kina virutubisho kama vitamini C, B9 na B6 pia madini kama potassium
- Hulinda afya ya moyo
- Hushusha presha ya damu
- Hulinda mwili dhidi ya kisukari, saratani na maradhi ya moyo
- Husaidia katika kuzuia saratani kusambaa maeneo mengine ya mwili
- Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu na hii ni muhimu hasa kwa watu wenye type2 diabetes
- Huboresha afya ya mifupa na kuifanya iwe imara na madhubuti
- Huimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya maambukizi ya bakteria
- Huboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula