Nimeshasaga mbegu za papai naomba ushauri jinsi ya kutumia.

Za leo!

Nimeshasaga mbegu za papai naomba ushauri jinsi ya kutumia.

Za leo! Nimeshasaga mbegu za papai naomba ushauri jinsi ya kutumia.Namba ya swali 023

Tia kwenye asali, ama uji ama chai, Pia si lazima usage unaweza kutafuna mbegu mbichiNamba ya swali 023

Ukatumia kwenyemaziwa inakuwa poa piaNamba ya swali 023

Asante sana.Namba ya swali 023Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 154


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-