Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe
Utangulizi
Karibu kwenye ukurasa huu wa utaratibu wa lishe. katika ukurasa huu utaweza kujifyna mambo kadhaa ambayo
ni muhimu kuyajua ili kuweza kupamba na na matatizo yanayotokana na mpangilio mbovu wa lishe.
Pia ijulikane luwa mwendelezo wa somo hili utapatikana kwenye kitabu chetu cha afya ambacho utaweza kukidownloada kwenye link hapo pembeni, Somo hili tumeligawa katika sehemu kadhaa ili kuwezesha wasomaji kuwapa wepesi zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa watu wasiofanya mazoezi, mazoezi ni kama tiba kwa namna Moja au nyingine ila Kuna madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale ambao hawafanyi mazoezi.
Soma Zaidi...Zijuwe nyakati ambazo dua inakubaliwa kwa haraka zaidi. Zijuwe nyakati ambazo ukiomba dua hitakubaliwa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya mambo ya kujiandaa kwa ajili ya kumuona daktari
Soma Zaidi...Tumekusha kuona na kujua kuwa mbu anaweza kuambukiza maradhi mengi na ya virusi kama zika.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa nguo za upasuaji, tunajua wazi kuwa, wakati wa upasuaji tunapaswa kusafisha chumba na mazingira yake lengo ni kuhakikisha kuwa tunazuia wadudu wasisambae au kuingia kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...