
Faida za karoti
- karoti ina virutubisho kama sukari, fati, protini, vitamini A, B, K na madini ya potassium.
- Hupunguza hatari ya kupata saratani
- Hususha cholesterol
- Husaidia kupunguza uzito
- Husaidia kuboresha afya ya macho
- Karoti ni nzuri kwa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari
- Husaidia kulinda na muimarisha afya ya moyo na mishipa ya moyo
- Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Karoti ni nzuri kwa afya ya mifupa