
Faida za kiafya za kula fyulisi (peach)
- lina virutubisho kama vitamini C, A na E. pia madini ya potassium, shaba, manganese na phosphorus.
- Huimarisha afya ya mifupa na meno
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Kupunguza kazi ya kuzeheka
- Hulinda mfumo wa fahamu na neva
- Huboresha afya ya macho