Utajuaje kama una upungufu wa vitamini C. Zijuwe dalili za upungufu wa vitamini C hapa

Makala hii inakwenda kukuletea dalili za upungufu wa vitamini c mwilini. Dalili hizo ni kama:-
1.Kupata ugonjwa wa anaemia (upungufu wa oksijeni mwilini)
2.Kutokwa na damu kwenye mafinzi
3.Mwili kushindwa kupambana na maambukizo ya mara kwa mara
4.Kuchelewa kupona kwa vidonda na majeraha
5.Kukauka na kukatika kwa nywele
6.Kupata majeraha na michubuko kwa urahisi
7.Kuvimba kwa mafinzi
8.Kutokwa na damu za pua
9.Kuongezeka kwa uzito
10.Ngozi kukauka na kupauka ama kufujaa kwa ngozi
11.Kuvimba kwa viungio na maumivu ya viungio
12.Udhaifu wa gamba gumu la meno.
Umeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili.
Soma Zaidi...