
Faida za kiafya za kula fenesi
- lina virutubisho vingi kama vitamini A, na C, pia kuna wanga
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Ni chakula kinachotia nguvu
- Huboresha afya ya moyo na mishipa ya damu na kuthibiti presha
- Huzuai kukosa choo
- Huzuia mwili dhidi ya kupata saratani
- Huboresha afya ya macho
- Husaidia kuimarish afya ya mifupa
- Husaidia kuzuia pumu
- Ni zuri kwa afya ya ngozi