Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine.
1. Baada ya mtihani kuisha wazazi na vijana wote walikusanyika kwenye ofisi ya nidhamu pamoja na wazazi wao , ila Jackie akili yake yote ilikuwa kwa julius na katika mkutano waliwatenga wasichana kwa wavulana ila Jackie alienda kwa wavulana akiwa ameweka mkono juu ya julius ila julius alijitahidi kuutoa mkono mama alipoona hayo alihisu hasira na kumrikia Jackie na kumpiga makofi kama mawili hivi na baba yake akamshika na kusudi mama yake hasilete Fujo zaidi.
2. Ndipo mwalimu aliyemkuta Jackie ananuka pombe kwenye chumba cha mtihani akamsimulia kila kitu kilivyoendelea ndivyo marafiki zake wakaulizwa kisiri kinachoendelea ndipo wakamsimulia maisha ya Jackie shuleni na yalikuwa yanasikitisha kwa wazazi , na pia Julius alitajwa sana , kwa sababu julius alikuwa mwoga baada ya kuchapwa vibao na baba yake naye akamsimulia jinsi alivyotumwa na hatimaye wale vijana waliokuwa wanamlipa julius wakaitwa nao wakapewa makofi Kama mawili hivi kila mtu alikuwa anashusha story Kama ilivyokuwa.
3. Baadae na wazazi wa wale vijana waliomtuma julius waliitwa nao pia na adhabu ya suspension ilitolewa kwa wote wanafunzi isipokuwa Julius na Jackie walifukuzwa shule kabisa , lengo lilikuwa ni kuwatenganisha, basi wazazi wakaamua kuwatafutia shule nyingine,kwa sababu ela kwao na Jackie zilikuwepo baba yake akampleka Ukraine kusoma ila julius Akabaki nchini, kwa sababu Jackie aliona kuwa amechezea Sana mda aliamua kusoma na kuwa mwanafunzi Bora darasani na pia julius alisoma na akaamua kiuacha mchezo.
4. Baada ya masomo yao ya kidato cha sita Jackie aliendelea kusoma udaktari Ukraine na Juliusi alisoma uinginia ,Basi kila mtu kwa anga zake wakasoma kila mtu akapata kazi, ILa mana yake na Jackie alimchukia mno Julius kwa sababu ndiye aliyekuwa chanzo cha kuleta Fujo kwenye maisha ya mwanae, kwa hiyo Jackie akakabidhiwa kuwa daktari mkuu wa hospital na akawa anafanya kazi zake vizuri na kwa umakini na Julius akawa engineering mzuri Sana.
5. Na siku Moja Jackie alipewa ela za kujenga hospital yenye viwango na selikali na akapewa engineer mkuu wa selikali aliyeitwa engineer julius kusudi waje wapange kuhusu ujenzi wa hospital na wakapeana simu yaani engineer na daktari ila walikuwa hawajuani ila waliongea kwenye simu na kupanga siku ya kukutana kwa ajili ya kupanga jinsi ya kujenga hospital na siku ikafika.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mahusiano yaliyotokea kati ya vijana wawili ila yanafika baadae mmoja akamsaliti mwenzake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mafundisho ambayo tunayapata kutoka kwa binti mfalme, tunapotoa hadithi sio kusoma na kufurahia tu ila kuna mafundisho muhimu katika maisha yetu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu, kwa sababu ya kuwepo kwa marafiki wasio waaminifu wanasababisha kuharibiana maisha bila kujua kwa sababu ya kuonekana wivu na kutokuwa wazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi vijana wawili ambao ni msichana na mvulana walioingia kwenye mahusiano wakiwa sekondari na wakahaidiana kuoana ila kwa sababu mbalimbali walizokutana nazo kwenye safari yao ya mahusiano mmoja akamsaliti mwingine na kusababisha kupo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme, baada ya kijana wa kiume wa binti mfalme kuoa yule ndugu yake baba anafanya sherehe kubwa na wake wenza wamepata habari kwamba kijana wa kiume wa mfalme ameoa ndugu yake wakaamuru kunyamaza il
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi watoto wa wawili ambapo mmoja ni mtoto wa tajiri na mwingine ni mtoto wa maskini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki.
Soma Zaidi...Post hii ni mwendelezo wa hadithi inayohusu Kufumbuka ambapo , John anaonekana kama sio mtoto wa Mzee maganga kwa sababu na miungu imekili kwa sababu chakula chote kimeliwa na kuisha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hadithi ya Binti mfalme ni hadithi ya kusisimua, kuhusu hadithi hii ni kwamba mfalme alihitaji mtoto wa kiume ila wanawake wote hawakumpata ila alitokea mke mdogo mmoja wa mfalme akajifungua watoto wawili mapacha mmoja wa kiume na
Soma Zaidi...