Mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu


image


Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu, kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu alichukua ule mkate akawapstia watoto wa yule mama wakiwa wanatoka shule kwa hiyo tutaona kilichotokea kwa wale watoto.


Mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu.(sehemu ya pili)

1. Kama tulivyotangulia kusema kwamba yule mama alikuwa na watoto watatu mmoja alikuwa darasa la tatu, mwingine darasa la tano na mwingine darasa la sita kwa hiyo huyo mwehu alikutana na watoto hao na watoto walipoona yule mwehu wakaanza kusema maneno aliyoyasema siku zote kwamba ukitenda mazuri unajitendea mwenyewe na ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe naomba mkate yule mwehu akachukua ule mkate akawapa watoto wakagawanya na kula.

 

2. Basi baada ya mwehu kwenda zake watoto wote watatu wakaanza kuumwa na matumbo na kuanza kulalamika na kadri ya mda ulivyoenda ndipo na hali ilizidi kuwa mbaya kwa hiyo hawakuweza kufika nyumbani Bali waliachia njiani na kuanza kutapika sana na kuharisha kwa hiyo wakapekekwa hospital na baadae Mama alipokuwa anakwenda hospital kuwaona watoto wake alikutana na yule mwehu namwehu alipomwona alitamka maneno Yale Yale kwamba ukitenda mabaya unajitendea mwenyewe na ukitenda mazuri unajitendea mwenvyewe naomba mkate, yule mama akamfukuza yule mwehu machoni mwake.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Tunakukaribisha kwenye Maktaba yetu       ðŸ‘‰    2 Download App zetu hapa ujifunze zaidi       ðŸ‘‰    3 Jifunze Fiqh       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani offline    


Je una maswali, maoni ama ushauri, tutumie sms ✉ bofya hapa hapa, ama wasiliana nasi kwa WhatsApp bofya hapa



Post Nyingine


image Binti wa ndotoni
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, hapa tunaona Jackie anajibu barua ya Julius kwa kusema yafuatayo. Soma Zaidi...

image Deni la mapenzi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Ndoto ya mgonjwa, binti mfalme
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Ujio wa wageni wa baraka
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine. Soma Zaidi...

image Hadithi ya Khalid mwenye kuneemeshwa na Jalid
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Hadithi ya mfalme na waziri wake
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Hadithi ya Kaka wa pili wa kinyozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Usaliti unaanza hapa
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...