Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili

Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, hapa tunaona Jackie anajibu barua ya Julius kwa kusema yafuatayo.

Barua kwa julius.

1. Kwa furaha kubwa Jackie aliandika barua ya kwa Julius akisema. hi Julius kipenda roho changu natumain kuwa haujambo na nimefurahi kuona barua Yako nasikia hata moyo unadunda kwa mapigo Fulani hivi mpaka nakosa pozi na nafurahi sana kuhamia kwangu pale kwenye desk hata nikiwa nimelala naiona kabisa sura Yako ukiwa umekaa karibu nami kwenye dawati.

 

2. Pia naomba msamaha kwa kujenga mahusiano n Dickson sio kwa amani hapana ila ni kwa sababu yakutafuta faraja baada ya wewe kunicha kwa hiyo nafurahi sana na kila kitu ambacho utataka nitakupa kwa sababu si unajua kwangu mimi Jack kila kitu kipo na kuhusu hotelini gharama ni za kwangu usihofu kipenzi,kwa hiyo badala ya kwenda jumamosi twende ijumaa  Bada ya masomo.

 

3. Kwa hiyo jackie akatuma barua kwa julius, na hapo ndipo  alipoanza kujiingza kwenye mahusiano tena na Juliusi na walipanga kwenda hotelini kuanzia ijumaa mpaka jumapili huko Julius alimwonyesha mapenzi ya kweli mpaka Jackie akawa anawaza julius peke yake mpaka na darasani akaacha kusoma alipenda kukaa karibu na Julius,

 

4. Kwa hiyo mitihani ilikuwa inakaribia na Mama yake Jackie akaja kumtembelea Jackie akaleta zawadi na walizitumia zote na Juliusi, na Mama yake na Jackie alitoa ahadi nyingi iwapo Jackie akishinda mtihani vizuri kama mtihani uliopo,kwa hiyo Julius akawa anasoma usiku mchana kazi yake ni kuhakikisha anapoteza akili za Jackie na vijana wanaendelea kumlipa Julius Hela yake kwa kumpoteza Jacki ,na hapo walibakiza wiki Moja kufanya mtihani wa kushindania zawadi za shule ila Jackie hakujiandaa hata kidogo akitumia mda mwingi kushinda na Juliusi.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/19/Tuesday - 02:41:30 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 898


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-