Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo ,
Namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe
1. Kuwashauri na kuwaambia ukweli kuhusu kipindi walichomo na wakitumia vibaya wakati huo na kujua madhara katika maisha yoa
2.Kuhakikisha vijana wanakuwa wasafi katika miili yao maana uchafu unaowatoka sio kama vile walipokuwa watoto
3. Kujua marafiki zao na kuhakikisha wanakuwa na marafiki wa maana
4. Kuwafundisha juu ya uzazi wa mpango, kujua faida na hasara zake
5 .kuwajulisha kuwa Kuna magonjwa ya hatari kama vile magonjwa ya ngono na Ukimwi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Uke ni sehemu ambayo imo ndani ya mwili wa mwanamke, sehemu hii ufanya kazi mbalimbali hasa wakati wa kujamiiana, kubarehe na kujifungua kwa mama.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyeungua na Moto.
Soma Zaidi...Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maumivu makali , kuna wakati mwingine mgonjwa anapata maumivu makali ya viungo na dawa mbalimbali uweza kutolewa kwa mgonjwa huyo lakini matokeo yake huwa ni kuendelea kwa maumivu kwa hiyo yafuatayo ni matokeo ya maumivu
Soma Zaidi...