Mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe, ni kipindi ambacho ni kutoka utotoni kwendea ujana.
Mabadiliko yanayotokea wakati wa kubarehe kwa wavulana
1. Kuzalisha kwa mbegu
Kipindi hiki mbegu huzalisha kwa wingi nakuanza kukomaa
2. Ndoto za usiku huanza hapa mvulana huota anajamiiana na msichana au kwa kitaamu huitwa ( wet dream)
3. Wavulana huota nywele makwapani na kwenye kifua, na sehemu zao za Siri
4. Sauti hubadilika na kuwa nzito, kwa kipindi hiki wavulana huanza kuongea sauti kubwa na nzito na pia huanza kujiamini
5. Kifua hupanuka na kuwepo na misuli mingi kwenye mikono, na nguvu huongezeka kwa vijana walio wengi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 web hosting 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi.
Soma Zaidi...Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng,area na wadudu
Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu. Wadudu ni viumbe vidogo ambavyo hukaa sehemu mbalimbali kama vile kwenye miti na sehemu kama hizo
Soma Zaidi...Namna ya kuchoma chanjo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa.
Soma Zaidi...Huduma ya Kwanza kwa aliyepatwa na presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kushuka
Soma Zaidi...Utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Somo hili linakwenda kukuletea utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Soma Zaidi...