Zijue kazi za ini
Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya
Kazi za ini
_ hutunza sukari iliyohifadhiwa kwa ajili ya kutumika baadae
_ hutengeneza vitamini A
_ husaidia mafuta yaliyohifadhiwa kuyabadilisha kuwa nguvu na kutumiwa kwenye mwili
_ husaidia kutunza madini ya chuma ambayo husaidia kuongeza damu
_ huzalisha joto kwenye mwili
_ husaidia kuondoa sumu kwenye mwili
_ huzuia maambukizi kwenye mwili
_ husaidia kutengeneza damu
_ huzalisha nguvu kwenye mwili
_ hulinda mwili kwa kuupatia kinga ya mwili
_ hutoa nyongo ambayo husaidia kumengenya chakula
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Ratiba ya chanjo ya polio
Posti hii inahusu zaidi namna chanjo ya polio inavyotolewa na ratiba zake yaani kuanzia siku ya kwanza mpaka pale mtoto anapomaliza chanjo hii kwa hiyo tuone ratiba ya chanjo ya polio.
Soma Zaidi...Zijue sehemu za mwili zinazochomwa chanjo.
Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo.
Soma Zaidi...Njia za kuzuia damu isiendelee kuvuja
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia damu isiendelee kuvuja, ni njia ambazo utumika ikiwa kuna damu inavuja kwenye sehemu yoyote ya mwili,kwa hiyo tunaweza kutumia njia hizi ili kuepuka kuendelea kuvuja kwa damu.
Soma Zaidi...Mzunguko wa mwezi kwa mwanamke
Posti hii inahusu zaidi mzunguko wa mwezi kwa mwanamke, ni mzunguko ambao huchukua siku ishilini na nane kwa kawaida Ila lla ubadilika kulingana na mtu, Ila ngoja tuangalie siku ishilini na nane tu.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEKUNYWA SUMU
Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...