Njia za kuzuia ugumba
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia ugumba, ni njia ambazo utumiwa na wapenzi ambao wameshindwa kupata watoto hasa kwa wale ambao wamezaliwa wakiwa na uwezo wa kupata watoto lakini kwa sababu tofauti tofauti wanashindwa kupata watoto kwa hiyo njia zifu
Njia za kuzuia ugumba.
1. Elimu ya afya ya uzazi itolewe.
atu wanatakiwa wapatiwe elimu juu ya afya ya uzazi, mambo yanayoathiri na njia za kuboresha. kwa mfao watu wafahamishwe vyakula vilivyo salama na vinavyotakiwa kwa wanandoa wanaotafuta ujauzito. Hivi ni vyakula mabvyo huboresha mfumo wa uzzi kwa mwanaume na mwanamke.'
2. Kutibu maambukizi.
Hili ni jambo la muhimu sana kwa wale ambao baada ya kufanya vipimo wanagundulika kuwa wana Maambukizi kwa hiyo baada ya kukaa mda mrefu bila kupata mtoto na kuwa na uhakika wa Maambukizi hasa yale yanayosababishwa na magonjwa ya zinaa ni lazima kutibiwa mara moja ili kuweza kupunguza tatizo hili la ugumba.
3. Kuepukana na madawa ya kulevya na uvutaji, unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, .
Katika tabia ya kutumia madawa ya kuzlevya kama vile malijuana, vileo vikali na aina yoyote ile ya bangi usababisha ugumba kwa hiyo tunapaswa kuwashauri ndugu zetu wanaotumia dawa hizo ili waweze kuacha na kuona matatuzo ya ugumba.
4. Kuepuka tabia ya kutoa mimba mara kwa mara. Tabia hii nayo usababisha ugumba kwa sababu kuna vijana wanaanza kutoa mimba katika umri mdogo na mara kwa mara na pengine kwa kutumia njia zisizofaa na kusababisha kizazi kulegea kwa hiyo inapofikia wakati wa kubeba mimba wanashindwa kupata mimba kwa sababu ya kuchokonoa kizazi kwa hiyo akina dada jilindeni na achana na tabia za kutoa mimba ni hatari sana.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Sababu za mama kutokwa na damu nyingi baada ya kujifungua.
Posti hii inahusu zaidi sababu za mama kutokwa na damu nyingi baada ya kujifungua, hili ni tatizo ambalo uwapata akina Mama wengi wanapomaliza kujifungua kwa hiyo tutaweza kuziona sababu zinazosababishwa na tatizo hili.
Soma Zaidi...Zijue sababu za kutobeba mimba
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinamfanya mama au dada kutobeba mimba. Kwa hiyo tutaziona hapo chini kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi
Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi, tunajua kabisa wakati wa hedhi damu inapaswa kuwa nyepesi na ya kawaida ila kuna wakati mwingine inakuwa na mabonge zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu mapacha wanaofanana
Post hii inahusu zaidi watoto mapacha wanaofanana,ni watoto wanaozaliwa wakiwa wanaofanana kwa sura na hata group la damu huwa ni Moja.
Soma Zaidi...Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?
Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb?
Soma Zaidi...