Nataka nijue siku ya kubeba mimba mwanamke

Nataka nijue siku ya kubeba mimba mwanamke

Nataka nijue siku ya kubeba mimba mwanamke

Naomba unisaidie:-
Nataka nijue siku ya kubeba mimba mwanamke



Namba ya swali 063

Unataka kujuwa siku ya kubeba mimba mwanamke, Mzunguuko wake wa siku zake una siku ngapi?



Namba ya swali 063

Ana umri wa miaka 21, na anapata hedhi kila tarehe 17 ama 21 ya kila mwezi.



Namba ya swali 063

Inamaana siku za mzunguko wa hedhi ni 30 au 34. Hivyo siku hatari zinawwza kuwa ni kati ya siku ya 14 mpaka 22 toka upate hedhi. Moja karmti ya siku hizo upo uwezekano wa kupata mimba.
Siku hiyo itakuwa na sifa hizi:-
1. Joto la mwili litaongezeka ila si homa
2. Utakuwa na hamu sana ya kukutana na mumeo
3. Majimaji ya ukeni yataongezeka.



Namba ya swali 063



Namba ya swali 063



Namba ya swali 063



Namba ya swali 063



Namba ya swali 063



Namba ya swali 063
-->

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 4578

Share On:

Share follows: 1 | Unique share links followed: 1
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 ai web app     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Dalili za maumivu ya hedhi

Maumivu ya hedhi (dysmenorrhea) ni maumivu makali au ya kubana sehemu ya chini ya tumbo. Wanawake wengi hupatwa na Maumivu ya hedhi kabla tu na wakati wa hedhi zao. Kwa wanawake wengine, usumbufu huo ni wa kuudhi tu. Kwa wengine,&nbsp

Soma Zaidi...
Huduma kwa wanaopata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi

Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi.

Soma Zaidi...
Sababu za kutoshika mimba kwa mwanamke

Post hii inahusu zaidi sababu za kutoshika mimba kwa mwanamke, kuna kipindi ambacho mwanamke hushindwa kushika mimba kuna sababu mbalimbali mojawapo ni kama zifuatazo

Soma Zaidi...
Uchafu unaotoka ukeni na rangi zake.

Posti hii inahusu zaidi uchafu unaotoka ukeni na rangi zake, kwa kawaida ukeni utolewa uchafu, uchafu huo unaweza kuwa kawaida na unaweza kuwa na rangi mbalimbali kutokana na kuwepo kwa Maambukizi.

Soma Zaidi...
Kuwepo kwa maziwa wakati wa ujauzito.

Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa maziwa kwa akina Mama wakati wa ujauzito ni kawaida kwa sababu ya kuzaliwa kwa homoni ambayo usaidia kutoa maziwa.

Soma Zaidi...
Vitu vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid (majimaji yanayomzungruka mtoto aliyekuwepo tumboni wakati wa ujauzito)

Post hii inahusu zaidi viti vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid, ni jumla ya vitu vyote vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.

Soma Zaidi...