Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pilipili
Faida za kula pilipili
1. Huondoa sumu na kemikali mbaya mwilini
2. Hupunguza uwepo wa uvimbe mwilini
3. Huboresha afya ya ubongo
4. Hudhibiti kiwango cha sukari mwilini
5. Hupunguza cholesterol mbaya mwilini
6. Husaidia katika kupambana na ugonjwa wa saratani
7. Husaidia mwili kufyonza vurutubishv vya vyakula
8. Hupunguza maumivu
9. Hupunguza hamu ya kula
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mlo kamili ni mkusanyiko kuu wa vyakula mbalimba kwa pamoja huimarisha na kuujenga  mwili wa binadamu na wanyama kwa sababu vinaleta virutubishi vyote vinavyohitajika.  Mkusanyiko wa vyakula vinavyotengeneza mlo kamili Kuna majina ya vyakula
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za kahawa mwilini, ni faida ambazo ujitokeza hasa kwa watumiaji wa kahawa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari
Soma Zaidi...