Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas
Faida za kiafya za peasi (pear)
1. peasi lina virutubisho kama vitamini C, B na K, pia madini ya chuma, magnesium na calcium. Pia peasi lina fati na protini
2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya kisukari
3. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya moyo
4. Hulinda mfumo wa mmengenyo wa chakula dhidi ya uaribifu
5. Hulinda afya ya mishipa ya damu
6. Husadia katika kuondosha sumu mwilini
7. Huzuia athari za kemikali mwilini
8. Huboresha afya ya mfumo wa kinga
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi
Soma Zaidi...