Faida za kiafya za kula Mihogo
Faida za kiafya za kula mihogo
- mihogo ina virutubisho kama vitamini C, protini, wanga, sukari, vitamini B, madini ya calcium, magnesium, sodium na phosphorus.
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia kuboresha afya ya macho
- Hutibu tatizo la kuharisha chemsha mizizi yake kisha kunywa
- Husaidia katika kupenesha vidonda
- Hutibu homa na maumivu ya kichwa
- Hutibu minyoo
- Huongeza hamu ya kula
- Huianguvu miili yetu kwa haraka
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉1 ai web app 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kunywa maziwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...Madhara ya upungufu wa protini mwilini
Madhara ya upungufu wa protini ni mengi kiafya. Miongoni mwa madhara hayo ni..
Soma Zaidi...Vyakula na vinywaji hatari na vilivyo salama kwa mgonjwa wa kisukari
Hapa utajifunza vyakula hatari kwa mgonjwa wa kisukari, pia utajifunza vyakula salama anavyotakiwa ale mgonjwa wa kisukari, Pia ujajifunza njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Faida za kiafya za parachichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi
Soma Zaidi...