Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi
Faida za kula peazi
1. Lina virutubisho Kama vitamin C,E na K pia madini ya magnesium,chuma na calcium pia fati na protini
2.husaidia kulinda mwili dhidi ya kisukari
3. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya moyo
4. Hulinda mfumo wa mmeng'enyo wa chakula dhidi ya mashambulizi
5. Hulinda afya ya mishipa ya damu
6. Huondoa sumu mwilini
7. Huzuia athari za kemikali mwilini
8. Huboresha afya ya mfumo wa kinga
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza maana ya Vitamini C, mwaka vilipogunduliwa na aliyegundua vitamini C
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Homa ya dengue hupatikana sana Afrika, Asia na baadhi ya maeneo ya Caribbean.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutajia mahonjwa matano ambayo hutokana na utapia mlo.
Soma Zaidi...