Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maembe kiafya, tunajua wazi kuwa maembe ni tunda ambalo lina umuhimu kwenye afya na uwa na vitamini C kwa hiyo tunapaswa kujua faida zake kama ifuatavyo.
Umuhimu wa kutumia maembe kiafya.
1. Maembe ubolesha metabolic.
Kwa kawaida tunajua aina zote za vyakula ufanya kazi mwilini kwa njia mbalimbali kwa hiyo embe usaidia ufanya kazi wa vyakula mwilini kufanya kazi yake kwa usahihi.
2. Pia maembe ubolesha afya ya macho.
Tunajua kuwa macho yanahitaji kiasi kikubwa cha vitamini C kwa hiyo kwa kupitia maembe tunaweza kupata vitamini ambavyo usaidia kwenye macho.
3.Maembe uzuia kuongezeka kwa saratani.
Kama tunavyojua kuwa saratani ni kuzalishwa kwa seli zisizokuwa za kawaida kwa hiyo embe usaidia kupunguza kiwango cha seli zisizokuwa za kawaida kupungua kuzalishwa.
4. Maembe ukabiliana na sukari hasa sukari ya sehemu ya pili.kwa kawaida sukari aina ya pili utokea pale seli zinazalishwa lakini mwili hauko tayari kupokea seli hizo ila kwa matumizi ya embe tatizo linaweza kupungua kwa kiwango maalumu.
5. Embe uongeza alkaline mwilini.
Tunajua wazi kuwa kiasi cha alkaline kikiongezeka usababisha kupungua kwa asidi mwilini ambayo uleta madhara kwenye mwili wa binadamu.
6. Pia embe utumika kama vipodozi kwa baadhi ya watu. Kuna watu ambao utengeneza vipodozi mbalimbali kwa kutumia embe na wakapata fedha.
7. Pia embe usaidia kwenye watu wenye matatizo ya moyo. Hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha potassium ambacho ukabiliana na sodium ambayo ikiwa nyingi kwenye moyo inaweza kuleta madhara.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafeli ama soursop
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili.
Soma Zaidi...Okoa afya yako kwa kula tunda papai, kwa hakika hutajuta, papai lina virutubisho vingi
Soma Zaidi...tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni.ni tunda ambalo ufanya kazi yake kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho muhimu ndani ya tunda hili.
Soma Zaidi...utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...