Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
. Faida za kiafya za kula bamia
1. Bamia lina virutubisho kama vitamini C, vitamini K, vitamini A na vitamini B. pia bamia lina protini, fati na madini ya magnesium.
2. Bamia lina antioxidant ambazo hulinda mwili dhidi ya maradhi
3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
4. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya saratani
5. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
6. Husaidia kwa wanawake wenye ujauzito na ukuaji wa mtoto
?
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
FAIDA ZA MATUNDA Makala hii inakwenda kukuletea faida za matunda mbalimbali na mboga upatikanaji wake na faida zake kiafya.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg
Soma Zaidi...