Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
. Faida za kiafya za kula Ukwaju
1. ukwaju una virutubisho kama vitamini C, K, B6, B1, B2 na B3, madini ya chuma, potassium, magnesium na phosphorus.
2. Husaidia kuimarisha afya ya moyo
3. Husaidia kushusha presha ya damu
4. Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya bakteria, fangasi na virusi
5. Huzuia kuziba kwa choo na kuharisha
6. Husaidia katika kulinda afya ya ini
7. Husaidia wajawazito kuondoa kichefuchefu
8. Husaidia katika kuthibiti uzito
9. Hupunguza kasi ya kuzeheka haraka
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tunda pera
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu maji
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kwa ujumla wake.
Soma Zaidi...