Posti hii inahusu zaidi mboga mboga za majani ambazo zinaweza kuweka sukari kwenye kiwango cha kawaida.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kwamba ugonjwa wa kisukari kuna kipitufikia kiwango ambacho Uweza kupanda na kushuka.
2. Pamoja na matumizi ya milo ya kawaida ya watu wa sukari tunapaswa kutumia mboga zifuatazo ili kuweza kuweka kiwango cha sukari kwenye hali ya usawa.
3. Mboga kama vile mchicha kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho mbalimbali usaidia sana kwa wagonjwa wa kisukari.
4. Mboga nyingine ni kama vile Chadi na mboga zote za majani, kitunguu swaumu, parachichi na maharage.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E
Soma Zaidi...Matunda ya zamani, matunda ya asili, Zaituni tunda lipendezalo, zijuwe faida zake leo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za mchai chai, ni mmea ambao upandwa na watu kama maua, dawa au kikolezo cha chai na Kuna wengine kabisa wanatumia kama sehemu Mojawapo ya dawa kwa hiyo tutaona faida za mmea huu wa mchai chai.
Soma Zaidi...Sifanjema Ni za Mwenyezi Mungu aliyetupa Afya njema hata kuifanya kazi hii mpaka kufiia hapa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...