Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kungumanga
Faida za kungumanga
Hizi mbegu zake huliwa ama kukamuliwa mafuta
1. Zina virutubisho Kama vile mafuta, vitamini na fati
2. Huboresha upataji wa choo kwa urahisi
3. Husaidia katika kuondoa ama kupunguza maumivu
4. Huboresha afya ya ubongo na kukuza ufahamu
5. Huondoa sumu mwilini
6. Hulinda mwili dhidi ya maradhi hatari Kama leukemia
7. Huboresha mzunguko wa damu
8. Huboresha afya ya ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi vitamini mbalimbali na kazi zake kwenye mwili,vitamini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop
Soma Zaidi...Hapa utajifunza maana ya Vitamini C, mwaka vilipogunduliwa na aliyegundua vitamini C
Soma Zaidi...