Faida za kiafya za kula Zabibu

Faida za kiafya za kula Zabibu

Faida za kiafya za kula Zabibu



Faida za kula zabibu:

  1. zabibu lina virutubisho vingi kama vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.
  2. Ina antioxidanti zinazohusika kuondoa sumu za kemikali na vyakula mwilini
  3. Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa kama saratani, kisukari na maradhi ya moyo na mishipa ya damu
  4. Huondoa stress na misongo ya mawazo
  5. Hushusha shinikizo la damu
  6. Hupunguza cholesterol mbay
  7. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  8. Husaidia kuimarisha afya ya macho
  9. Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
  10. Husaidia kuboresha afya ya mifupa
  11. Husidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria, virusi na fangasi
  12. Hupunguza kuzeheka mapema


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 4668

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 web hosting     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Vyakula salama kwa mwenye kisukari

Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula salama kwa mwenye kisukari

Soma Zaidi...
Faida za kula bamia

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida ambazo anaweza kupata mwanadamu Kama akila bamia Mara kwa mara. Bamia huliwa Kama tunda au Kama mboga pia na husaidia vitu vingi mwilini.

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Parachichi (avocado)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za parachichi

Soma Zaidi...
Vyakula vya vitamin B

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B

Soma Zaidi...