Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Faida za bamia
1. Bamia Lina virutubisho Kama vitamin C, K, A na pia bamia Lina protini, fati na madini ya magnesium
2. Bamia Lina antioxidants ambazo hulinda mwili dhidi ya maradhi
3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
4. Hulinda mwili dhidi ya saratani
5. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
6. Husaidia kwa wanawake wajawazito na watoto
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi kuu tatu za vitamini C
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kutumia tangawizi
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako
Soma Zaidi...