Faida za kiafya za kula Mbegu za papai

Faida za kiafya za kula Mbegu za papai

Faida za kiafya za kula Mbegu za papai



Faida za mbegu za papai

Mbegu za papai mara nyingi huliwa baada ya kukaushwa na kusagwa unga. Pia unaweza kuzikaanga kidogo ama kuzichemsha.

  1. husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vyema
  2. Husaidia kuzuia kupata saratani
  3. Hulinda figo kufanya kazi vyema
  4. Husaidia mwili katika kupambana na vijidudu vya maradhi
  5. Husaidia kwa wenye kisukari
  6. Husaidia katika kuondosha sumu za kemikali mwilini
  7. Mbegu za papai zina virutubisho mbalimbali


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3996

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 web hosting     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Faida za kula mayai

Posti hii inahusu zaidi faida anazozipata mtu anayekula mayai hasa wakati wa kifua kinywa, tunajua wazi kuwa mayai yana kiwango kikubwa cha protini pamoja na hayo kuna faida nyingi za kutumia mayai hasa wakati wa asubuhi kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
KITABU HA MATUNDA

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
Vyakula vya vitamin B

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B

Soma Zaidi...
Faida za pilipili

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za pilipili

Soma Zaidi...
Faida za vitamin C mwilini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vitamini C mwilini

Soma Zaidi...