VINYWAJI SALAMA KWA MWENYE KISUKARI
Kuchaguwa vinywaji si jambo rahisi, lakini inabidi iwe hivyo kama una tatizo la kisukari. Je unasumbuka kujuwa vinywaji salama? makala hii ni kwa ajili yako, hapa tutaona vinywaji ambavyo ni salama kwa mwenye kisukari.
Vjinywaji salama kwa mwenye kisukari ni kama:-
- Maji
- Chai isiyo na sukari
- Kahawa isiyowekewa sukari ama kunywewa na vitu vitamu kama kashata
- Juisi ya tomato (nyanya) ama tango, pia isiwe kwa wingi
- Vinywaji vya wanamichezo ambavyo havikuwekewa sukari
- Baadhi ya vinywaji vingine visivyo na wanga
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 web hosting 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 web hosting 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Upungufu wa vitamin C mwilini
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito
Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida.
Soma Zaidi...Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...