Faida za kiafya za kula Kunazi

Faida za kiafya za kula Kunazi

Faida za kiafya za kula Kunazi



Faida za kiafya za kula kunazi (lote tree)

Tumia matunda na majani yake, majani unaweza kuyakausha na kusaga unga wake ama kuyachemsha.

 

  1. husaidia katika kupunguza maumivu
  2. Husaidia katika kupunguza maumivu ya tumbo
  3. Ni tunda zuri kwa afya ya mfumo wa upumuaji
  4. Husaidia katika kuondosha sumu za vyakula na makemikali mwilini
  5. Husaidia kurefresh mwili
  6. Husaidia katika kutibu maradhi ya ngozi
  7. Hupunguz maumivu ya chango kwa wakinamama
  8. Husaidia katika afya ya hedhi
  9. Husaidia katika ujauzito kwa mama na mtoto
  10. Husaidia katika kushusha joto la mwili

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3401

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 web hosting     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Faida za pilipili

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za pilipili

Soma Zaidi...
Majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi

Posti hii inahusu zaidi kazi ya majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi, pamoja na kutibu saratani mbalimbali na upambana na fangasi na bakteria kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...
Faida za kula nanasi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi

Soma Zaidi...
Dalili za upungufu wa vitamini C

Utajuaje kama una upungufu wa vitamini C. Zijuwe dalili za upungufu wa vitamini C hapa

Soma Zaidi...
Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini

hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini

Soma Zaidi...