Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo
Kazi za madini ya Shaba mwilini.
1.Madini ya Shaba usaidia kutengeneza chembechembe za damu ambazo usaidia kulinda mwili kutokana na magonjwa kwa hiyo tunapaswa kula vyakula vyenye madini ya chuma Ili tuweze kujenga kinga ya mwili.
2.Madini ya Shaba usaidia kupunguza kiasi Cha kolestrol kwenye mwili, tunajua kuwa kuongezeka kwa kolesrol kwenye mwili usababisha madhara mbalimbali yanayoweza kuweka afya ya mwili kwenye hali ngumu kwa kuwepo madini ya Shaba kiasi Cha kolestrol kwenye mwili upungua
3.Madini ya Shaba ulifanya mifupa kuwa Insta na isivunjike, tunajua kuwa kazi ya mifupa kwenye mwili wa binadamu ni kubwa mno, kwa ujumla nyama za mwili wa binadamu zimejishikisha kwenye mifupa kwa hiyo kazi ya mifupa ni kubwa mno katika mwili.
4.Madini ya Shaba ufanya kazi sana kwenye Neve za mwilini tunajua kabisa jazi za nerve ni kubwa mno mwilini bila nerve mawasiliano kutoka sehemu Moja kwenda nyingine ni shida kwa hiyo tunaona nerve zilizo na kazi kubwa mwilini so tunapaswa kutumia sana vyakula vya madini ya Shaba mwilini.
5. Madini ya chuma usaidia pia kwenye moyo na ubongo , kwa hiyo matumizi ya madini ya Shaba ni makubwa mno kwenye moyo na ubongo, kwa hiyo tunajua wazi kazi kubwa za ubongo na moyo kwa kufanya hivyo tunaweza kufanya system ya mwili kuwa vizuri.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Sponsored links
👉1
Kitau cha Fiqh
👉2
Madrasa kiganjani
👉3
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉4
Kitabu cha Afya
👉5
Simulizi za Hadithi Audio
👉6
kitabu cha Simulizi
Je unazijuwa faida za kula chungwa kiafya? soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...