Posti hii inahusu zaidi faida kuhusu uyoga mwekundu ni uyoga unaopatikana katika sehemu mbalimbali na pia kuna waliofanikiwa kupandikiza na kuweza kuvuna ila uyoga huu una siri mbalimbali kama tutakavyoona.
Faida za uyoga mwekundu.
1. Upandisha CD4 mwilini.
Kama tunavyojua kuna kipindi CD4 huwa zinapungua mwilini ila kwa sababu ya matumizi ya uyoga huu mwekundu kiwango cha CD4 kinaongezeka kwa hiyo ni vizuri hasa kwa wale wenye Maambukizi ya virus vya ukimwi kutumia uyoga wa namna hii ili kupandisha kiwango cha CD4 mwilini.
2. Uongeza kinga ya mwili.
Kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango cha CD4 na kiwango cha mwili uongezeka ni vizuri kabisa kutumia uyoga huu kwa wingi ili kuwa na kinga nzuri ya mwili.
3. Ni uyoga mzuri kwa waliougua kwa mda mrefu.
Kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha CD4 na waliogua mda mrefu kinga upungua ila kwa matumizi ya uyoga huu wataweza kupata nafuu.
4. Ni uyoga mzuri kwa ajili ya walio na tatizo la homa ya nini.
Kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha Kinga ya mwili hata kwa ajili ya homa ya inni ni vizuri zaidi.
5. Pia uyoga huu ni mzuri kwa wenye tatizo la kutanuka moyo.
Kwa watu waliokuwa na tatizo la kutanuka moyo wametumia uyoga huu na sasa hivi wanasema kwamba kuna nafuu.
6. Kwa walioathirika na Ugonjwa wa ukimwi.
Kwa kawaida walioathirika na Ugonjwa wa ukimwi wana CD4 kidogo kwa hiyo baada ya kutumia uyoga huu wanaweza kuongeza kiwango cha CD4.
7. Uongeza nguvu mwilini.
Kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye uyoga uongeza nguvu mwilini.
8. Uondoa sumu mwilini.
Kwa watu wenye tatizo la kuwepo kwa sumu mwilini wanashauriwa kutumia uyoga huu kwa wingi ili kuweza kuondoa sumu mwilini.
9. Kuondoa uvimbe mwilini.
Kwa kawaida wale wenye matatizo ya kuwepo kwa uvimbe kwenye mwili wanapaswa kutumia sana uyoga huu ili kuweza kupunguza tatizo la kuwepo kwa uvimbe.
10. Wenye matatizo ya macho na pia wenye tatizo la Maambukizi kwenye via vya uzazi nao pia wanashauriwa kutumia uyoga huu ili kuweza kuweza kupata nafuu ya matatizo yao.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukuletea vyakula vyeny maji kwa wingi na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukupa elimu juu ya vyakula na vinywaji vilivyo salama kwa mtu mwenye kisukari, na ni vyakula vipi ni hatari kwa mwenye kisukari. Pia utajifunza njia za kujilinda na kupata kisukari.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini, ni Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini ambao usababisha madhara kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maharage kwa wingi, maharage ni aina ya chakula ambacho upatikanaji wake ni rahisi na watu wengi hawajui kwa ulaji wa maharage una faida kubwa sana mwilini kwa hiyo tunapaswa kuangalia faida za maharage kama ifua
Soma Zaidi...Post hii itakupa elimu kuhusu mfumo wa mmrng'enyobwa chakula unavyo fanyankazi
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu fati, vyakula vya fati, kazi zake na athari za upungufu wake
Soma Zaidi...Vijuwe vyakula vya kyongeza nguvu za kiume na mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...