Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo
Faida za mihogo
1. Una virutubisho Kama protini,wanga, sukari, vitamini C na B pia madini ya calcium, magnesium, phosphorus na sodium
2. Husaidia katika kupunguza uzito
3. Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
4. Huboresha afya ya macho
5. Hutibu tatizo la kuharisha, chukua mizizi yake chemsha Kisha kunywa.
6. Huponesha vidonda
7. Hutibu homa na maumivu ya kichwa
8. Hutibu minyoo
9. Huongeza hamu ya kula
10. Huipa miili yetu nguvu za kutosha
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo
Soma Zaidi...Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?
Soma Zaidi...Hapa tutaona kuhusu virutubisho vya wanga, kazi zake na athari za upungufu wake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Kula uyoga kwa faida kubwa, ja unazijuwa faida za kula uyoga kiafya
Soma Zaidi...