Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage
Faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere mbaazi na njugumawe
1. Tunapata virutubisho kama protini, vitamini B, A na K madini ya shaba, chuma, na manganese.
2. Husaidia kushusha sukari na kuboresha kiwango cha insulini
3. Hupunguza uwezekano wa kupata kisukari
4. Hupunguza cholesterol mbaya mwilini
5. Husaidia katika kupunguza uzito
6. Husaidia hatari ya kupata saratani
7. Hupunguza uwezekano wa kupata presha
8. Huboresha afya ya mifupa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree
Soma Zaidi...Post hii itakupa elimu kuhusu mfumo wa mmrng'enyobwa chakula unavyo fanyankazi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Soma Zaidi...