Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
45. Faida za kiafya za kula Asali
1. Asali ina virutubisho kama sukari, vitamini na madini mbalimbali
2. Asali huweza kuupa mwili uwezo wa kujilinda dhidi ya shambulio la moyo, presha,na saratani
3. Pia asali huboresha afya ya macho
4. Huongeza kiwango cha sukari kwenye damu
5. Hushusha presha ya damu
6. Huborsha na kuimarisha afya ya moyo
7. Ni dawa kwa aliyeungua ama kwa mwenye kidonda ama jeraha
8. Ni dawa ya kikohozi kwa watoto
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafeli ama soursop
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza faida na matumizi ya asali mwilini.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...