nikiasi gani cha protini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzima

nikiasi gani chaprotini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzima

Asanteni sana kwa somo zuri la protini naombeni kujua nikiasi gani chaprotini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzima



Namba ya swali 054

Gram 46 kwa mwanamke na 56 kwa msanaume



Namba ya swali 054

Je sapliments za protini zinawezakua njianzuri kuonngeza viwango vya protini mwilini?



Namba ya swali 054

Kama kuna uwezekano wa kupata protini asilia ni njia nzuri zaidi. Ila kama ni katika wanaijitaji pritini jwa haraka kama body building ukitumia saplinenti haitadhuri.



Namba ya swali 054
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 770

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

Zijue Faida ya kula tunda la tango.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za kula tango japokuwa watu wengi hulipuuzia Ila Lina Faida kubwa Sana mwilini.

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuoambana na mafua

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuoambana na mafua

Soma Zaidi...
Faida za chumvi mwilini (madini ya chumvi)

Post hii inakwenda kukipa faida za madini ya chumvi mwilini.

Soma Zaidi...
Vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...