Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula fenesi
Faida za fenesi
1. Lina virutubisho vingi Kama vitamin A na C pia Lina wanga
2. Huimarisha mfumo wa kinga
3. Ni chakula kinachotia nguvu
4. Huboresha afya ya moyo na mishipa ya damu pia hudhibiti presha
5. Huzuia kutokupata choo
6. Huzuia mwili dhidi ya kupata saratani
7. Huboresha afya ya macho
8. Husaidia kuimarisha afya ya mifupa
9. Huzuia pumu
10. Huimarisha afya ya ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...