Elimu yenye manufaa Ni ipi? (EDK form 1:elimu yenye manufaa)
Elimu yenye Manufaa.
- Elimu yenye manufaa ni ile yenye sifa zifuatazo:
Ni ile inayomuwezesha mwanaadamu kumtambua na kumuabudu Mola wake vilivyo na ajili ya kufikia lengo la kuumbwa kwake.
-Ni ile inayomuwezesha mja (muumini) kuwa Khalifa (kiongozi) wa Allah (s.w) hapa Ulimwenguni.
-Ni ile inayoiwezesha jamii kuishi kwa furaha na amani ya kweli.
-Ni ile inayotafutwa na kufundishwa kwa ajili ya kupata radhi za Allah (s.w).
Umeionaje Makala hii.. ?
Makala hii inakwenda kukufundisha kuhusu nguzo sita za imani katika Uislamu.
Soma Zaidi...Mwanaadamu ametunukiwa neema mbali mbali na Mola wake kuliko viumbe wengine wote kama tuanvyojifunza katika aya mbali mbali za Qur'an.
Soma Zaidi...Mtazamo wa uislamu juu ya dini (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...