Mtazamo wa uislamu juu ya ibada (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
3. MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA IBADA
3.1 Dhana ya Ibada kwa Mtazamo wa Uislamu.
- Ibada Ni neno la Kiarabu linalotokana na neno Abd lenye maana ya mtumwa au
Mtumishi.
Kumtumikia Allah (s.w) kikweli kweli ni kufanya kila analoliridhia Allah (s.w).
Kuzingatia na kufuata amri zake zote kwa kuchunga mipaka yake katika maisha ya kila siku.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Huwaoni wale wanaodai kwamba wameamini yale yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako?
Soma Zaidi...Waislamu wanakatazwa kufanya na kufuata mambo kwa kibubusa (kwa mkumbo) bila ya kuwa na ujuzi unaostahiki.
Soma Zaidi...Kuwa ni kwa nini mwanadamu hawezi kuishi bila ya dini kutokana na umbile la mwanadamu.
Soma Zaidi...Je ni kwa nini mwanadamu hawezi kuishi bila ya kuwa na dini?. Vipawa alivyopewa na Allahni jibu tosha juu ya swali jilo
Soma Zaidi...