Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Katika soo hili tutatumia mifano kwenye list yetu hii
['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft']
Hizi ni sifa ambazo kila list lazima iwe nazo
a. First hii itatuonyesha item ya mwanzo kabisa mwa hiyo list.
void main(){
var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];
print(list1.first);
}
bongoclass
b. isEmpty hii itupa majibu true kama list haina kitu ama false kama ina kitu
void main(){
var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];
print(list1.isEmpty);
}
False
c. isNotEmpty hii itaangaliakama list haina kitu itatupaibu true na kamaina kitu itatupa jibu false
d. length hii itaangalia idadi ya item kwenye hiyo list kwa mfano hapo itatupa jibu 5
e. last hii itatuonyesha item ya mwisho
f. reversed hii itapangilia tena list kutoka mwisho kuja mwanzo
g. single hii itafanya kazi tu kama item kwenye list ni moja, hiyo itadisplay item hiyo, kama ni zaidi ya moja haitafanya kazi.
2. Kuongeza item kwenye list
a. add() hii hutumika kuongeza item moja mwishoni mwa list
void main(){
var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];
var list2 = list1.add('github');
print(list1);
}
[bongoclass, facebook, google, youtube, microsoft, github]
b. addAll hii hutumika kuongeza item zaidi ya moja kwenye list
void main(){
var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];
var list2 = list1.addAll(['github', 'instagram', 'telegram']);
print(list1);
}
[bongoclass, facebook, google, youtube, microsoft, github, instagram, telegram]
c. insert hii hutumika kuongeza item kwenye list sehemu unapotaka.
Hapa tutaangalia index. Kumbuka index huhesabiwa kuanzia 0. Mfano tunataka kuweka item ya tatu kwenye lista yetu iwe apple yaani baada ya facebook ifuate apple na sio google. Hivyo ili ikae hapo tuipe inex ya 2, kwa kuwa tunahesabu kuansi 0.
void main(){
var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];
var list2 = list1.insert(2, 'apple');
print(list1);
}
[bongoclass, facebook, apple, google, youtube, microsoft]
d. insertAll hi ni sawa na insert hiyo hapo juu tofauti ni kuw ahii inaongeza item zaidi ya moja
void main(){
var list1 = ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'];
var list2 = list1.insertAll(2, ['apple', 'tesla']);
print(list1);
}
[bongoclass, facebook, apple, tesla, google, youtube, microsoft]
e. Kubadili (update) item kwenye list
">...Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika data kwenye faili. Kwanza utajifunza kutengeneza folda, kisha faili na kuweka data, kisha utajifunza kufuta fali.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika masomo yaliopita tumesha jifunza jinsi inheritance inavyokuwa, ila hatujaona kwa namna gani utaweza ku inherit constructor method. Somo hili litashughulika na swla hilo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye Dart. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu dart library. Pia tutakwend aktengeneza library yetu wennyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza concept nyingine ya asynchronous programming.
Soma Zaidi...