Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Encapsulation kwenye Dart:
Katika dart encapsulation inamaanisha kuficha data kwenye library, ili kuzizuia zisituike kusoko hitajika. Katika dart kila faili la .dart ni library. Library ni mkusanyika wa function na class.
Encapsulatio inaweza kufanywa kwa kutumia njia mbili ambazo ni
Getter hii hutumika katika kuzifikia (access) value za property ambayo ni private na setter hutumika ku update values za property ambayo ni private.
Ili kufanya property iwe private tutatumia underscoce, mfano _jina
class Gari {
// Private properties
int? _namba;
String? _jina;
}
Baada ya kutengeneza hizo private properties sasa ni wakati wa utengeneza method kwa ajili ya kuzifikia (access) hizo properties. Method hizo zinaitwa getter metods.
int pata_namba() {
return _namba!;
}
String pata_jina() {
return _jina!;
}
Baada ya kutengeneza getter method hatu wainayofuata ni kutengeneza method ambayo itatumi kwa ajili ya ku update taarifa za proerties. Methods hizo zinaitwa setter
void wka_namba(int id) {
this._namba = _namba;
}
void weka_jina(String jina) {
this._jina = jina;
}
Baada ya hapo hatuwa inayofuata ni kutengeneza object na kuweza ku update property kwa kuweka value.
class Gari {
// Private properties
int? _namba;
String? _jina;
// Getter method
int pata_namba() {
return _namba!;
}
String pata_jina() {
return _jina!;
}
// Setter method
void weka_namba(int namba) {
this._namba = namba;
}
void weka_jina(String jina) {
this._jina = jina;
}
}
void main() {
Gari toyota = new Gari();
toyota.weka_jina("Toyota Avalon");
toyota.weka_namba(72723);
print(" Tunauza gari aina ya ${toyota.pata_jina()}. Yenye namba ya usajili ${toyota.pata_namba()}");
}
Wacha nikurudishe nyuma kidogo. Katika Dart tunaposema private p">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya generics ili kuweza kufanya kazi na aina mbalimbali za data kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuziona method za dart zinazotumika kwenye namba. pia utajifunzakuhusu math library
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda ujifunz akuhusu concept ya stream kwenye Dart. pia ttaona kwa namna gani strean inaweza kutofautiana na future wakati zote mbili zipo kwenye asychronous programming.
Soma Zaidi...