Katika somo hiliutakwenda kujifunza aina nyingine ya constructor ambayo hutumika kwenye Dart. aina hiyo ni factory constructory.
Aina ya constructor ambayo tumkuwa tukiitumia toka huko mwanzo inaitwa ganerative constructor hii ina mfanano na factory constructor, ila kwenye generative constructor yenyewe inaweza kutengeneza instance of calss tu yaani object lakini hii ya factory constructor inawez akute geneza instance of class na subclass.
Factory constructory hutengenezwa kwa kutumia keyword factory ikifuatiwa na jina la class kama tulivyoona kwenye generative constructor. pia factory constructory inaweza kuwa named.
class gari {
factory gari() {
}
factory toyota.gari() {
}
}
Hapa nitakupa mfano mmoja ambao kwanza nitatuia generative constructor kama tulivyo zoea kisha nitatumia factoru constructory.
class eneo {
final int urefu;
final int upana;
final int jibu;
// constructor
const eneo(this.urefu, this.upana) : jibu = urefu * upana;
}
void main() {
eneo en = eneo(12, 4);
print("Eneo ni: ${en.jibu}");
}
Sasa wacha tuone jinsi ya kutumia mfano uliotamgulia kwenye factory constructor.
class Eneo {
final int urefu;
final int upana;
final int jibu;
// Regular constructor
const Eneo._internal(this.urefu, this.upana, this.jibu);
// Factory constructor
factory Eneo(int urefu, int upana) {
int jibu = urefu * upana;
// Return an instance using the privat">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu inheritance, na inavyoweza kutumika kwenye Dart OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda ujifunz akuhusu concept ya stream kwenye Dart. pia ttaona kwa namna gani strean inaweza kutofautiana na future wakati zote mbili zipo kwenye asychronous programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...