Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Method ni nini?
Method ni kama function tofauti ni kuwa method zina mahusiano makubwa na object. Hapa nitakuletea baadhi tu ya method zinazotumika kwenye string:-
1. String length
Hii hutumika katika kujuwa je string ina character ngapi.
void main(){
String text = "haloo bongoclass";
print(text.length);
}
Hii itakupa jibu 16 kumaanisha hapo kuna herufi (character) 16
2. Kubadili herufi kuwa ndogo au kubwa
kubadil i kuwa herufi ndogo utatumia toLowerCase na kubadili kuwa kubwa utatumia toUpperCase
void main(){
String text1 = "haloo bongoclass";
String text2 = "HALOO BONGOCLASS";
print(text1.toUpperCase());
print(text2.toLowerCase());
}
HALOO BONGOCLASS
haloo bongoclass
3. Kuigawa string kwenye (substring)
Kwa mfano katika neno bongoclass tunataka kuprint neno bongo tu. hapo tutaangalia hilo bongo linapatikana kutka characterya ngapi hadi ya ngapi
void main(){
String text = "bongoclass";
print(text.substring(0, 5));
}
bongo
4. Kuchuja string (contains)
Kwa mfano unahitaji kuangalia kama je neno fulani lipo ama halipo kwenye string. Kama lipo utapata jibu true na kama halipo jibu ni false. Wacha tuangalie je neno class lipo kwenye neno bongoclass?
void main(){
String text = "bongoclass";
print(text.contains('class'));
}
true
5. Kubadili string kuwa list data type (split)
Hapa tutakwenda kuigawa string kwenye mafungu. Kw amfano neno haloo karibu bongo class. Tutagawa kwa kila neno
void main(){
String text =">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza concept nyingine ya asynchronous programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuunganisha databse na Dart. Pia utajifunza jinsi ya kuset environment kwenye kompyuta ili kuweza kutumia Dart sdk kwenye CMD.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuziona method za dart zinazotumika kwenye namba. pia utajifunzakuhusu math library
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...