Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Kabla ya kuendelea na somo, kwanza tengeneza faili kwa kutumia note pad, hilo faili liite dart.txt zingatia wakati wa ku save chaguwa seve as type, weka all files kisha ndipo utaweka hilo jina dart.txt kisha hilo faili liweke kwenye folder lenye project yako ya Dart.
Hilo faili ndio tunakwenda kulifanyia kazi katika somo hili. Tutakwenda kujifunza kupata taarifa za faili, kulisoma na kuandika data. Pia tutakwend akujifunz akutengeneza faili lingine.
Ndani ya hilo faili lako weka maneneo haya
Karib bongoclass
Haya ni mafunzo ya dart programming
Jinsi ya kusoma faili:
Sasa ili tuweze kusoma faililetu tutatumia method hii readAsSteingSync() ila kabla ya hapo tutatakiwa kutengeneza file object kwa kutumia function File() ndani yake tutaweka jina la faili. Pia kama faili lipo kwenye directory ama folda lingine utaweka link yake hapo ndani ya hiyo function. Jambo la kuzingatia zaidi ni ku import io library.
Mfano
import 'dart:io';
void main() {
// tengeneza file object
File file = File('dart.txt');
// soma file
String contents = file.readAsStringSync();
// print file
print(contents);
}
Pia unaweza kusoma faili kw akutumia split()
import 'dart:io';
void main() {
// open file
File file = File('dart.txt');
// read file
String contents = file.readAsStringSync();
// split file using new line
List<String> lines = contents.split(' ');
// print file
print('---------------------');
for (var line in lines) {
print(line);
}
}
Angalia picha hapo chini
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu dart library. Pia tutakwend aktengeneza library yetu wennyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kazi za dart language. Pia nimekuandalia istoria fupi ya lugha ya DART.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...