Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Unaweza kutengeneza getter method kwa kutumia keyword get na unaweza kutengeneza setter method kwa kutumia keyword set. Hapa tutatumia arrow => function. (Rejea somo la aina za function)
class gari {
String? _aina;
int? _mwaka;
// Getter method
get model => _aina;
// Setter method
set model(model) => _aina = model;
// Getter method
get year => _mwaka;
// Setter method
set year(year) => _mwaka = year;
}
void main() {
var vehicle = gari();
vehicle.model = "Toyota";
vehicle.year = 2023;
print(vehicle.model);
print(vehicle.year);
}
Kuvalidate kwa kutumia getter:
Wacha tuone mfano wa validation. Angalia mfano hapo chini, kuna provate properties 2, sasa kwenye property name kama hutaweka kitu utaambiwa no name.
class NoteBook {
// Private properties
String _name;
double _prize;
// Constructor
NoteBook(this._name, this._prize);
// Getter to access private property _name
String get name {
if (_name == "") {
return "No Name";
}
return this._name;
}
// Getter to access private property _prize
double get prize {
return this._prize;
}
}
void main() {
// Create an object of NoteBook class
">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo lililopita tumejifunza kuhusu sintaksia za dart. Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza variable kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya mysql kwenye Dart. hakikisha umeelewa vyema na kutekeleza yalioelekezwa kutoka kwenye somo lililopita.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kazi za dart language. Pia nimekuandalia istoria fupi ya lugha ya DART.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye Dart. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.
Soma Zaidi...