Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Tulishajifunza huko nyuma kuwa map data inakuwa na key na value. Pia tulijifunza jinsi ya lutengeneza map. Hapa kwanza tutaziona njia mbili za kutengeneza map ambazo hatukuzisoma huko mwanzoni.
At runtime
Hapa tutatengeneza data ya map wakati program inakuwa ina run
void main() {
var websites = {};
websites['jina'] = 'bongoclass';
websites['umri'] = 5;
websites['mmiliki'] = 'binafsi';
websites['hali'] = 'ipo hai';
print(websites);
}
Hii itatupa matokeo haya:-
{jina: bongoclass, umri: 5, mmiliki: binafsi, hali: ipo hai}
Kwa kutumia constructor
Tutakuja kujifunza zaidi kuhusu constructor kwenye OOP. kw aufupi hii ni njia ambay hutumika kutengeneza object moja kwa moja. Hapa tutatumia new map()
void main() {
var websites = new Map();
websites['jina'] = 'bongoclass';
websites['umri'] = 5;
websites['mmiliki'] = 'binafsi';
websites['hali'] = 'ipo hai';
print(websites);
}
{jina: bongoclass, umri: 5, mmiliki: binafsi, hali: ipo hai}
Map properties:
void main() {
var websites = new Map();
websites['jina'] = 'bongoclass';
websites['umri'] = 5;
websites['mmiliki'] = 'binafsi';
websites['hali'] = 'ipo hai';
print('key');
print(websites.keys);
print('values');
print(websites.values);
print('length');
print(websites.length);
print('is empty');
&nbs">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo lililopita tumejifunza kuhusu sintaksia za dart. Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza variable kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza concept nyingine ya asynchronous programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...