Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya generics ili kuweza kufanya kazi na aina mbalimbali za data kwenye class.
Generics ni njia ya kutengeneza class ay function ambayo inaweza kufanya kazi na aina mbalimbali za data. Chukulia mfano kama tulivyoona kwenye list data type yenyewe inaweza kukusanya data zilizo kwenye aina mbalimbalia, namba, string n.k, huu ni mfano mzuri wa generic.
Mfano
class gari<T> {
// code
}
Hiyo T hapo huitwa generics type variable kazi yake ni kueleza aina ya data itakayotumika kwenye hiyo class. Zenyewe zipo 4 ambazo ni:-
T hii humaanisa type
E hii humaanisha element
K hii humaanisha key
V hii humaanisha value
Mfano bila ya generics
class gari {
int matairi;
gari(this.matairi);
}
class toyota {
double uzito;
toyota(this.uzito);
}
void main() {
gari g = gari(4);
toyota t = toyota(4.5);
// Print the data
print("Idadi ya matairi: ${g.matairi}");
print("Uzito ni tani: ${t.uzito}");
}
Mfano kwa kutumia gnerics
Sasa ngoja tuone mfano wetu juu hapo tunavyoweza kuuandika upya kwa kutumia generic.
// Using Generics
class gari<T> {
T matairi;
gari(this.matairi);
}
class toyota<T> {
T uzito;
toyota(this.uzito);
}
void main() {
// create an object of type int and double
gari<int> g = gari<int>(4);
toyota<double> t = toyota<double>(4.5);
// print the data
print("Idadi ya matairi ni: ${g.matairi}");
print("Uzito ni tani: ${t.uzito}");
}
Mfano kwenye map data type
T genericMethod<T>(T value) {
return value;
}
void main() {
// call the generic method
print("Int: ${genericMethod<int>(10)}");
print("Double: ${genericMethod<double>(10.5)}");
print("String: ${genericMethod<String>("Hello")}");
}
Mfano wa generics kwenye parameter zaidi ya moja">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza kufanya maamuzi kulingana na mashart fulani.ama namna ambavyo program inaweza ku run code zaii ya mara moja kulingana na mashart. Hapa tutazingumzia flow of control statement
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza concept nyingine ya asynchronous programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...