Katika somo hili utajifunza kuhusu dart library. Pia tutakwend aktengeneza library yetu wennyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Library ni nini?
Library ni mkusanyiko wa programming instruction yaani ni yale maelekezo ambayo huamrishwa kompyuta kuyafuata. Dart yenyewe ina library zake. Kwa mfano wakati tunajifunz akuhusu mahesabu tulitumia library ya math ambapo tuli import kwa kutumia import 'dart:math';Pia wakati tunataka kupata user input tulitumia library ya io ambayo tuli import kwa kutumia import 'dart:io';Pia huko mbele tutakwenda kutumia html kwenye dart tutatulia library ya html kw akutumia import 'dart:html';
Hizi library zipo tu nyingi na kila moja ina matumizi yake mengi tu. Kwa muda wako unawez akuzifuatilia dart library kwenye website yao ya Dart, link nimetoa kwenye somo la kwanza.
Jinsi ya kutengeneza library yako mwenyewe.
Ili uweze kuetengeneza library kwanza utatengeneza faili lingine kisha utaliba jina unalolotaka kwa mfano tutatengeneza faili tutaliita hesabu.dart
Ndani ya hilo faili mstari wa kwanza anza na kuandika keyword library ikifuatiwa na jina la hiyo library. Mfano hesabu
library hesabu;
Sasa chukulia tunataka library yetu ya hesabu iweze ktafuta eneo la pembe tatu, eneo la mraba na eneo la trapeza. Tutatumia kanuni zile zile za darasa la 5 shule ya">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kazi za dart language. Pia nimekuandalia istoria fupi ya lugha ya DART.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya mysql kwenye Dart. hakikisha umeelewa vyema na kutekeleza yalioelekezwa kutoka kwenye somo lililopita.
Soma Zaidi...