Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Polymorphism ni nini?
Polymorphism ni uwezo wa object kubadilika katika hali mbalimbali. Polymorphism huhusika katika ku update properties, function na class, kutoka kwenye class iliyokuwepo. Kwa ufupi polymorphism ni uwezo wa object kuwa katika hali mbalimbali.
Unapo override method ina maana umeamuwa kuibadilisha kwa method nyingine, hivyo zote zitakuwa na jina moja inaitwa signature. Ila hii haimaanihi kuwa hatuwezi tena ku access method ya mwanzo.
Hapa nakwenda kukuletea mfano ambapo nime override method ya parent class na nikaitumia pia.
class gari{
void tangazo(){
print("Tunauza magari");
}
}
class toyota extends gari{
@override
void tangazo(){
print("Tunauza toyota");
}
}
class bugati extends gari{
@override
void tangazo(){
print("Tunauza bugati");
}
}
void main(){
gari magari=gari();
toyota toyo=toyota();
bugati bug = bugati();
magari.tangazo();
toyo.tangazo();
bug.tangazo();
}
Utaona hapo kama utabadili signature yaani jina la hiyo method basi itashindwa ku override hivyo itatupa matokeo ya mwanzo kabla ya ku override. Angalia mfano huu
class gari{
void tangazo(){
print("Tunauza magari");
}
}
class toyota extends gari{
@override
void ujumbe(){
">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu inheritance, na inavyoweza kutumika kwenye Dart OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuziona method za dart zinazotumika kwenye namba. pia utajifunzakuhusu math library
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...