Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika data kwenye faili. Kwanza utajifunza kutengeneza folda, kisha faili na kuweka data, kisha utajifunza kufuta fali.
Kutengeneza folder:
Katika programming folda linaitwa directory. Hivyo ili tuweze kutengeneza directory tutatumia function ya Directort() function hii tutaweka jina la directory kama argument yake. Kisha tutatumia method ya crete(). Mfano tunakwenda kutengeneza folda tunatakaloliita data.
import 'dart:io';
void main(){
Directory('data').create();
}
Kutengeneza faili na kuweka data
Hapa tutatengeneza faili kwenye folda letu tuliotengeneza hapo juu. Ili kutengeneza faili tutatumia function ya File() ambapo jina la faili na jina la folda utaweka ndani kama argument.
Kwanza tutatengeneza variable yetu. Kenyr data type yake weka File
Mfano variable nitaiita faili_letu
File file_letu = File('data/tile.txt');
Kisha tutatumia function ya writeAsStringSync() kuungiza data kwenye faili letu. Ndani ya function hiyo ndipo utaweka data kama argument. Mfano faili letu litakuwa na data hizi
Karibu Bongoclass
Upate kujifunza mengi
Bila malipo
import 'dart:io';
void main(){
File file_letu = File('data/tile.txt');
file_letu.writeAsStringSync('Karibu Bongoclass Upate kujifunza mengi Bila malipo');
print('faili limetengenezwa');
}
Sio lazima kuweka folda hapo, unaweza kutengeneza faili popote pale. Mfano faili letu tunakwenda kuliweka pamoja na orodha nyingine za mafaili kwenye root folder
import 'dart:io';
void main(){
File file_letu = File('tile.txt');
file_letu.writeAsStringSync('Karibu Bongoclass Upate kujifunza mengi Bila malipo');
print('faili limetengenezwa');
}
Pia tunaweza kutumia input data. Sasa hapa tutakwend akutumia mode: FileMode.append
Kwa ajili ya kusubiria loop. T">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza kufanya maamuzi kulingana na mashart fulani.ama namna ambavyo program inaweza ku run code zaii ya mara moja kulingana na mashart. Hapa tutazingumzia flow of control statement
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza concept nyingine ya asynchronous programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...