Katika somo hili utakwenda ujifunz akuhusu concept ya stream kwenye Dart. pia ttaona kwa namna gani strean inaweza kutofautiana na future wakati zote mbili zipo kwenye asychronous programming.
Stream ni mfululizo wa asynchronous operations (events) yaani matukio ya asyncchronous ambayo huwasilisha malue nyingi ambazo hupatikanwa katika wakati ujao. Utafauti mkubwa wa future ni kuwa kwenye future class tunasumngumza operation moja kama tulivyoona huko nyuma, lakini ukija kwenye stream unazungumzia operationa zaidi ya moja ni sawa na iliteration kwenye synchronous operation.
Jinsi ya kutengeneza stream class
Kutengeneza stream class kuna mfanano sawa na future. Utaanza na keyword stream ikifuatiwa na aina ya data kama tulivyoona kwenye stream ikifuatiwa na function, ikifutaiwa na keyword async itafuatiwa na body of function. Sasa kwenye async utaongeza alama ya nyita (*).
Stream<String> tovuti() async* {
await Future.delayed(Duration(seconds: 1));
yield 'bongoclass';
await Future.delayed(Duration(seconds: 1));
yield 'facebook';
await Future.delayed(Duration(seconds: 1));
yield 'Google';
}
// main function
void main() async {
// you can use await for loop to get the value from stream
await for (String jina in tovuti()) {
print(jina);
}
}
Pia tunaweza kutumia keyword yield ili kuweza kufanya iliteration. Angalia mfano hapo chini:
Stream<int> countForOneMinute() async* {
for (int i = 1; i <= 5; i++) {
await Future.delayed(const Duration(seconds: 1));
yield i;
}
} main() async {
await for (int i in countForOneMinute()) {
print(i);
}
}
Pia tunaweza kutumia yield* kwenye stream ama recrucive function, rejea kwenye somo a function kujuwa maana ya recrucive function
Stream<int> str(int n) async* {
if (n > 0) {
await Future.delayed(Duration(seconds: ...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu inheritance, na inavyoweza kutumika kwenye Dart OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hiliutakwenda kujifunza aina nyingine ya constructor ambayo hutumika kwenye Dart. aina hiyo ni factory constructory.
Soma Zaidi...